Nahitaji nitoke Tarime nihamie jijini Mwanza.

Nahitaji nitoke Tarime nihamie jijini Mwanza.

KEFODAW

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
34
Reaction score
2
Mimi mwl wa sekondari. wilayani Tarime. Nahitaji kuhamia NYAMAGANA au ILEMELA mkoani Mwanza. Naomba msaada wa mbinu bora za kulifanikisha.
 
Niko BWIREGE Sec. maeneo ya mgodi wa Nyamongo. Du! Nashukuru kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom