Nahitaji niwe soften face

Sevendayz

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
21
Reaction score
1
Jamani hizi rushes plus pimples usoni hadi zinaniondolea confidence coz nabaki na madoa uson.
Msaada-naomba ushauri kuhusu nini nifanye na lotion gani nitumie to keep my face soft..Nawasilisha
 
Tumia mafuta ya ubuyu kijiko kikubwa1 asubuhi na jioni hvyohyo natumai itakusaidia kwani mimi ilinisaidia
 
Asante sn,ntajaribu.ila ujanambia kama ni kupaka au kunywa ndugu yangu mana cjapata kuyaona.na je,ntayapata maduka ya dawa ya kawaida au wapi
 
Nenda kwenye maonyesho ya sabasaba au 88, pia unaweza tembelea nje ya misikiti, wengi huuza.
Kuna mafuta feki pia.
 
Jamani hizi rushes plus pimples usoni hadi zinaniondolea confidence coz nabaki na madoa uson.
Msaada-naomba ushauri kuhusu nini nifanye na lotion gani nitumie to keep my face soft..Nawasilisha

Tumia product za Oriflame..They ar very nice..Coz unapewa bidhaa kutokana na skin type yako.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamani hizi rushes plus pimples usoni hadi zinaniondolea confidence coz nabaki na madoa uson.
Msaada-naomba ushauri kuhusu nini nifanye na lotion gani nitumie to keep my face soft..Nawasilisha

mwenyewe nina soften face inaniondolea confidence pia nifanyeje?
 
Natural Health and Beauty fuata hiyo link then nenda kwenye products utaziona zinazokufaa kwenye website kuna namba yangu ntafute nkusaidie, they are fantastic products
 
very simple
kunywa juice ya tango lita moja kila siku
mara tatu kwa wiki kunywa mchanganyiko wa mayai mawili ya kienyeji mabichi... asali ya nyuki wadogo na maziwa
jipake mafuta ya nazi mix na asali
 
duh mbn ni ka mchakato!!
 
id say tumekuwa in the same path.i loosed confidence when my face was almost a pineapple:A S 20:..naumia nikikumbuka...too good i like being natural so i had to try lots of stuff and these are som processes i used:
1.i took time to realize my skin type
2.i started taking lots of water
3.i started making my own scrubs that would open my skin spores eg.sugar with asali au mchanga with asali.
4.then after i scrub i apply a mixture of ndimu,asali with baking powder.
5.i always wash my face with warm water after then.
6.and i go to steam my face after a week.
i dont encourage u to use lotions,i suggest u use mafuta ya ubuyu au ya mawese.
all the best!:becky:
 
Thanx all for ur courageous hints.ila apo kwenye kunywa mayai mabichi ni nouma aisee,inahitaji moyo.
 
very simple
kunywa juice ya tango lita moja kila siku
mara tatu kwa wiki kunywa mchanganyiko wa mayai mawili ya kienyeji mabichi... asali ya nyuki wadogo na maziwa
jipake mafuta ya nazi mix na asali

Tupia picha ya miguu yako.
 
wee nawee,maswali gani hayo,unataka amwage nchele kwenye ndege wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…