aisee unaweza kuzimia ..miguu ndo imeniweka mjini hapaTupia picha ya miguu yako.
very simple
kunywa juice ya tango lita moja kila siku
mara tatu kwa wiki kunywa mchanganyiko wa mayai mawili ya kienyeji mabichi... asali ya nyuki wadogo na maziwa
jipake mafuta ya nazi mix na asali
lita toka asubuhi? mbona hiyo kidogo mkuuIs that simple? kunywa juisi lita moja kila siku mbona shughuli.