NAHITAJI NOKIA 1280 MAARUFU NOKIA OBAMA IDADI 4 ZIWE MPYA AU HAZIJATUMIKA SANA

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
4,410
Reaction score
6,496
Habari wakuu, nahitaji nokia obama nne (nokia 1280) zile nokia za button imara toleo la zamani (zisizofutika button haraka kama za kariakoo za sasa hivi). Rangi yoyote iwe nyeusi, blue, nyekundu nk.

Kama unayo mpya ni vizuri, ila pia kama unayo used nitanunua pia. Nazihitaji simu 4. bajeti yangu kwa nokia obama used ni 20-30K ( elfu 20 hadi 30).

Nimezunguka sana kuzitafuta madukani, zipo nyingi fake hizi zinazofutika button haraka, yani ndani ya muda mfupi zinafutika ile rangi yake

Nipo siriaz wakuu, napatikana dar es salaam ubungo river side, kama unayo/unazo nicheki
 
Picha ya simu nazohitaji ni hii
 
hivi vidubwasha vimebaki vichache san mjini kuna msela anacho ila kuuza ndo hataki.
 
Nimeinunua elfu 10 ila sababu najua ni nzuri nakuuzia 50000
 
Nimeinunua elfu 10 ila sababu najua ni nzuri nakuuzia 50000
aah, mkuu,,,, nifanyie 25, kama upo dar naifata mwenyewe, hiyo si ushaitumia tumua ndugu
 
M mpenz sana wa nokia, hio nimempa dogo, hapa Nina Nokia N73, 6500 slide na 112
 
Utauziwa mchina ndg, kama una pesa nunua Nokia 105 tu, hizi zinatumia laini mbili na zina features zote ambazo Nokia Obama inazo. Mi nilinunuaga mpya 45k kipindi zinatoka,saivi sijui zinauzwaje
 
Fuata hii link ya mshikajj wangu wa instagram anazo hats ukitaka piece 1000 namba yake IPO hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20181126-140448.png
    85.8 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…