radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,410
- 6,496
Habari wakuu, nahitaji nokia obama nne (nokia 1280) zile nokia za button imara toleo la zamani (zisizofutika button haraka kama za kariakoo za sasa hivi). Rangi yoyote iwe nyeusi, blue, nyekundu nk.
Kama unayo mpya ni vizuri, ila pia kama unayo used nitanunua pia. Nazihitaji simu 4. bajeti yangu kwa nokia obama used ni 20-30K ( elfu 20 hadi 30).
Nimezunguka sana kuzitafuta madukani, zipo nyingi fake hizi zinazofutika button haraka, yani ndani ya muda mfupi zinafutika ile rangi yake
Nipo siriaz wakuu, napatikana dar es salaam ubungo river side, kama unayo/unazo nicheki