Depal huko kwako hamna panya wa kutosha? Deal hili hapaNajua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituri tu. Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta kitoweo hicho Arusha tuwasiliane kwa Whatsapp 06563888678 au meseji 0789904445. Tafadhali uwe na uhakika wa kuwa nacho katika ubora tangu maandalizi yake mpaka kukisafirisha na kifike kikiwa fresh. Bei tutaongea au unaweza pia kujibu kwenye thread hii.
Nipo Dodoma,ngoja waje shemeji zangu mihanyenye nao wanatumia hicho kiteoa!Najua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituzi tu.
Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta kitoweo hicho Arusha tuwasiliane kwa Whatsapp 06563888678 au meseji 0789904445.
Tafadhali uwe na uhakika wa kuwa nacho katika ubora tangu maandalizi yake mpaka kukisafirisha na kifike kikiwa fresh.
Bei tutaongea au unaweza pia kujibu kwenye thread hii.
Swali nimelielekeza kwa watu wa mikoa yote Arusha ikiwemo.arusha kwani panya hawapo
Sipatikani Arusha..
Naona unamkakati wa kuwa NYAU!!!Najua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituzi tu.
Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta kitoweo hicho Arusha tuwasiliane kwa Whatsapp 06563888678 au meseji 0789904445.
Tafadhali uwe na uhakika wa kuwa nacho katika ubora tangu maandalizi yake mpaka kukisafirisha na kifike kikiwa fresh.
Bei tutaongea au unaweza pia kujibu kwenye thread hii.
Waliochinjwa na kuchunwa tu. Wawekwe kwenye friji/barafu na kutumwa kwangu. Kama unaweza nipe bei kwa kilo.Unahitaji panya wa rosti au wakurumagia kawaida
Hebu fafanua vizuri kiongozi
Ajira ipo kwenye ubunifu tu. Nimeleta hili ili watu wajiongezeDaah! Bado watu wa Arusha wanalalamika ajira hakuna
Sasa siuzame hapo kusini mwenyewe.Najua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituzi tu.
Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta kitoweo hicho Arusha tuwasiliane kwa Whatsapp 06563888678 au meseji 0789904445.
Tafadhali uwe na uhakika wa kuwa nacho katika ubora tangu maandalizi yake mpaka kukisafirisha na kifike kikiwa fresh.
Bei tutaongea au unaweza pia kujibu kwenye thread hii.
Nimekoma mimi matabeSipatikani Arusha..
Ajira ipo kwenye ubunifu tu. Nimeleta hili ili watu wajio
Wewe ndio unipe bei mkuuKilo unanunuaje nikuandalie
Nahitaji wao wanitumie.Sasa siuzame hapo kusini mwenyewe.