Nahitaji nyama ya punda

najua

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
224
Reaction score
54
Habari.

Kunahitajika nyama ya punda kwa ajili ya export .Sasa nahitaji information nitapata wapi hizo nyama za punda na utaratibu wote wa kisheria unaohitajika kuanzia kuchinja na kusafirisha.

Mwenye taarifa anisaidie ni kitu serious kabisa.
 
eeeeh? I wonder what next.:rapture::rapture::rapture:
 
Kanda ya kati yaani mikoa ya Dodoma, Morogoro na Singida kitoweo chao kikuu ni nyama ya punda.

Kwa dodoma maeneo ya Mvumi nyama ya Punda inapatikana kiurahisi Kulinganisha na ya Ng'ombe. Nyama ya Punda huku dodoma inaitwa "Ndogowe".
 
sasa ndugu kama unaweza kuwa namba ya
mtu anayeweza nisaidia kupata hao punda naomba unisaidie
 
pia kwa anayejua utaratibu wa export wa nyama angalau hata pa kuanzia nianze fuatilia
 
Nyama ya punda??? Inaliwa???

Nyama ya punda inaliwa na mimi ni moja ya watu niliokuwa siamini ila baada ya kufanya tafiti pale mvumi ndipo nilipoujua ukweli. Na cha kushangaza nyama ya punda inauzika hata kuliko ya ngom'be.
 
pia kwa anayejua utaratibu wa export wa nyama angalau hata pa kuanzia nianze fuatilia

Punda wanapatikana kwa wingi mkoani Singida ila taratibu za usafirishaji ndo napata ugumu kuutambua.
 
sasa ndugu kama unaweza kuwa namba ya
mtu anayeweza nisaidia kupata hao punda naomba unisaidie

Awe na namba kwani yeye amesema anajihusisha na uchinjaji wa punda?
Halafu kwa nini unakuwa mvivu kiasi hiki? ameshakutajia maeneo yote husika, bado unataka akutafutie na namba ya simu???

CC: mandelaa1
 
sasa ndugu kama unaweza kuwa namba ya
mtu anayeweza nisaidia kupata hao punda naomba unisaidie

Tuwasiliane mkuu mi naweza kukuletea hadi dar na nikishafikisha kila punda mkubwa sh 500,000/= kadilio la juu!
 
Ukishagaa ya musa ..
Ndio maana uwa sili nyama mahotelini.
 
hiyo nyama inahitajika china sio tanzania .
 
Tuwasiliane mkuu mi naweza kukuletea hadi dar na nikishafikisha kila punda mkubwa sh 500,000/= kadilio la juu!

naomba uni pm namba yako , tuwasiliane vizuri
 
Awe na namba kwani yeye amesema anajihusisha na uchinjaji wa punda?
Halafu kwa nini unakuwa mvivu kiasi hiki? ameshakutajia maeneo yote husika, bado unataka akutafutie na namba ya simu???

CC: mandelaa1

Ndugu najaribu kutafuta njia nzuri na rahisi kufanya hiyo kazi kwa kadiri ninavyotafuta information hapa ndivyo ninavyotafuta huku nje ya mtandao pia . Sijawahi fanya hiyo kazi ndio mwanzo.
 
Kanda ya kati yaani mikoa ya Dodoma, Morogoro na Singida kitoweo chao kikuu ni nyama ya punda.

Kwa dodoma maeneo ya Mvumi nyama ya Punda inapatikana kiurahisi Kulinganisha na ya Ng'ombe. Nyama ya Punda huku dodoma inaitwa "Ndogowe".

Ha Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, sijawahi kufikiria kuwa punda analiwa
 
habari. Kuna hitajika nyama ya punda kwa ajili ya export .Sasa nahitaji information nitapata wapi hizo nyama za punda na utaratibu wote wa kisheria unaohitajika kuanzia kuchinja na kusafirisha. Mwenye taarifa anisaidie ni kitu serious kabisa
Haramu siyo HALAL FOOD
 
Unashangaa nini!mbona ngamia analiwa na maziwa watu wanakunywa! Punda na ngamia si walewale tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…