House4Sale Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha

House4Sale Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,001
Reaction score
1,021
Habari za mvua Wadau. Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha. Kwenye Mfuko wa shati kuna TZS. 30M. Mawasiliano piga 0784636291. Ahsante.
 
labdaa za barabaran utaxipata mkuu ukumbuke mtr zaoo zinakuhusu wakija wenye ardhiizaoo
Za barabarani zenyewe ataachiwa kama ni kimeo ,ila ikiwa haina shida wakazi wa kule ngumu kuachia ardhi
 
Morogoro road ukamvue eneo mchaga
Wameanza tabia zao kama za Moshi hawa watu. Ule mji kule hadi umedoda sababu ya ubishi na roho mbaya ya kutotaka kuuza ardhi kwa wageni matokeo yake watu wamekimbia mji ule hauna tena mzunguko mzuri wa pesa na biashara.

Wamehamia Dar wanakuja kutuharibia utaratibu wakati sisi watu wa Dar utamaduni wetu ni mtu akitaka kitu akifika dau unamuachia bila hiyana ndio maana huu mkoa kila mtu anapata maisha bila kujalisha ana hali gani kiuchumi au anakitu gani mfukoni.

Haya majitu sijui yakoje aisee me nina wasiwasi sio matanzania mbona machoyo hivi na roho za ubinafsi na za kwann? [emoji848]
 
Back
Top Bottom