Nahitaji nyumba ya kupanga

Nahitaji nyumba ya kupanga

anti-negative energy

Senior Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
114
Reaction score
71
Wakuu habari, nilikua nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Africana, vigezo: i) iwe self contained yani chumba kimoja na choo ndani kwa ndani ii) pasiwe na msongamano wa nyumba nyingi

Gharama za malipo kwa mwezi tutaelewana baada ya kuiona nyumba

Pendekezo: ikiwa nyumba ipo na una smartphone, unaweza ipiga picha ukanirushia kwenye namba hii 0712668152 ya whatsapp. au unaweza nipigia tukaongea

0682535423 namvba yangu ya airtel
 
Back
Top Bottom