Nitakupigia subiri kidogo πΉKwani uko wapi ?
Tena utasikia "jf ya zamani haukutani na mada za kitoto, kumbe watoto tulikuwepo" πUtasikia "jf zamani ilikuwa na great thinker"πππ
Huo mwaka ndio zile Huawei zilikuja kuleta mapinduzi ya kimtandao na watoto mkajiunga!Tena utasikia "jf ya zamani haukutani na mada za kitoto, kumbe watoto tulikuwepo" π
ππππ hebu ngoja kwanza nikupigie unielezee kwa kirefuHuo mwaka ndio zile Huawei zilikuja kuleta mapinduzi ya kimtandao na watoto mkajiunga!
Ila nakupongeza maana hujaacha upuuzi wakoπππni una consistency
Unaona Sasaπππππππ hebu ngoja kwanza nikupigie unielezee kwa kirefu
πKudadadeki uwe mwepesi kuelewa ushauri na mahubiri sihitajiiiii
Mdogo angu 2013 ulinitukana si ndio?! πΉπ
Inamaana katka kuzurura kote kule hatimae unataka kutulia na WA miaka 40 πSifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....
Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana
wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!