Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupigia subiri kidogo 😹Kwani uko wapi ?
Tena utasikia "jf ya zamani haukutani na mada za kitoto, kumbe watoto tulikuwepo" 😂Utasikia "jf zamani ilikuwa na great thinker"😂😂😂
Huo mwaka ndio zile Huawei zilikuja kuleta mapinduzi ya kimtandao na watoto mkajiunga!Tena utasikia "jf ya zamani haukutani na mada za kitoto, kumbe watoto tulikuwepo" 😂
😂😂😂😂 hebu ngoja kwanza nikupigie unielezee kwa kirefuHuo mwaka ndio zile Huawei zilikuja kuleta mapinduzi ya kimtandao na watoto mkajiunga!
Ila nakupongeza maana hujaacha upuuzi wako😂😂😂ni una consistency
Unaona Sasa🙌🙌🙌😂😂😂😂 hebu ngoja kwanza nikupigie unielezee kwa kirefu
😆Kudadadeki uwe mwepesi kuelewa ushauri na mahubiri sihitajiiiii
Mdogo angu 2013 ulinitukana si ndio?! 😹
Inamaana katka kuzurura kote kule hatimae unataka kutulia na WA miaka 40 😃Sifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....
Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana
wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!