Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
326
Reaction score
464
Habari wakuu.

Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi.

Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu.

Nipigie simu tuongee vizuri mkuu.
0754693556
 
Habari wakuu.

Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi.

Nahitaji mtu mmoja au mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu.

Nipigie simu tuongee vizuri mkuu.
0754693556
Imekaa kimchongo sana. Umeanza na Mkwara wa Risk taker
 
Mkuu ulienipigia simu namba mwisho ya Voda 07561**999 simu yangu ikawa inatumika na ukanitumie meseji
"partna wa JF biashara"

Nimekupigia wewe nimeambiwa namba yako haipo nini tatizo? Nipigie Tena tafadhali muhimu Sana.
 
Weka details zote, za huo mpango, ili mtu anapokupigia inakuwa ni hatua moja mbele katika kushirikiana baada ya kujiridhisha na mpango kazi husika.
Mwalimu unajua fika ninavyokuheshimu kaka.

Sikutaka kuweka wazi na ndio maana nikaweka namba za simu.

Kwa heshima yako Tu naweka neno
Patna anatakiwa awe na milion 30 za Kitanzania ziwe bank au cash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…