Nahitaji partner wa Ufugaji wa Samaki

Nahitaji partner wa Ufugaji wa Samaki

Sehemu ya kupotezea muda? Ndio maana waafrika tupo nyuma kimaendeleo by 1000 nautical miles!! Unaanzisha mradi afu unaufanya sehemu ya kupotezea muda.
Mchane huyo
 
Sehemu ya kupotezea muda? Ndio maana waafrika tupo nyuma kimaendeleo by 1000 nautical miles!! Unaanzisha mradi afu unaufanya sehemu ya kupotezea muda.
Unafikiri ipo siku tutakuwa mbele kimaendeleo kuwazidi wazungu?
Najua sana mitaji yetu wabongo wengi niyakuungaunga ikitokea hasara kubwa mtu anakata tamaa,Ndio maana nilimshauri aanze mdogo mdogo uku akiendelea na shughuli zake hii itampa faida nyingi kama kujua changamoto za huo ufugaji,Mnakosea sana kuingia wazima wazima mkitoka ktk mafunzo yenu yale ya ujasiriamali mkiamini mtakuwa matajiri ndani ya muda mfupi tu.
 
Ndugu ukitaka kufanikiwa katika ufugaji wowote ule kwanza usiwe na pupa,pili usianze kuwekeza pesa nyingi.Fanya shughuli zako zinazokuingizia kipato huo ufugaji uwe kama sehemu ya kupotezea muda unapokuwa huru na majukumu mengine.
Ungeanza na bwawa moja tu na kununua vifaranga taratibu taratibu.Hakika utafanikiwa na hautapata hasara ya kukukatisha tamaa.
✔✔✔💯💯💯
Exactly..hii kwangu ni bst option always.Sitaki stress kama kitu sijakijua au kuki master sawia.naanza mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom