Kwema wakuu?
Ninahitaji kupata passport ya kusafiria ila jina lililoko kwenye nida limekosewa herufi moja tu (badala ya kuishia na herufi “ni” jina la mwisho limeishia na “n”).
Siko na kitambulisho mkononi kipo mkoani huko na time hii niko DSM. Je, inawezekana?