Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hello habari zenu,
Aiseeee nahitaji manual book ya hii gari, Nissan Dualis 2009. Nimeingia mtandaoni nahisi nimekosea chimbo za kupata. Ila najua JF hakuna linaloshindikana. So nimeona nije kwanza huku kabla ya kuendelea kupekua kule labda kuna mwenye nayo anisaidie kuipaste hapa niipate.
Au kama kuna direct link ya kuipata pia itakuwa ni poa hakuna shida ukiweka hapa.