Nahitaji pesa Milion 68

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Ndugu zangu Naja kwenu

Nashida na M 68

Jaman Naitaji kufanya Biashara ya Pub Maeneo ya Kigambon

Nimeshapata eneo Lipo Sehem nzur tuu kwa Biashara iyo

Na uwakika Ndan Ya Miaka 4 nitakuwa nimesharejesha Hicho kias ambacho Atakuwa Amenikopesha uyo mtu

Iyo Ela Ni Pamoja Na kununua ilo Eneo Na Ujenz Wa Pub

Nipo Seriuos Jaman Naitaji kuwekeza Huko

Au Kama Kuna mtu Anaitaji ku share Zis Business Aje Pm

Shukran Ndugu Zangu
 
HIVI MAISHA NDO YAMEKUCHANGANYA AU NDIO VICHAA TUNAOAMBIWA! MAISHA YANGEKUWA RAHISI KAMA ULIVYOSEMA BASI WOTE WANGEFANYA; HATA BENK HUTAPATA, KWANZA BENK HAWAKOPESHI MTU UKAANZE BIASHARA!
JIULIZE.
Biashara yenyewe ya pub ni Haram! Yaan huna mtaji, huna eneo huna Vifaa! Halafu unakuja humu! Au hiyo ni ndonto umeiota mchana huu?
 
Ml 68:??!!! Pub???mrejesho miaka minne!!

Yani umeanza kama shairi vile kumbe upo serious

Ngoja nikale zangu ugali kwanza..huu mtihani umenishinda.
 
weka taarifa zote hapa, 68 mln , 4 years, Dhamana ya mkopo, je utamudu riba kiasi ? na marejesho @ mwezi kiasi gani ? km utaweza sh 2,750,000= mwezi x miezi 48 karibu sana na uwe na dhamana ya 100 mln
 
We na wewe ndo wale wale tu, njaa njaa na ujanja ujanja.
Yani kila mwezi sh 2.75M x 48 ni 132M hiyo afu kakopa 68M.

Sasa mtu akope 68M arudishe 132M huoni kama una upunguani kichwani mwako?
 
We na wewe ndo wale wale tu, njaa njaa na ujanja ujanja.
Yani kila mwezi sh 2.75M x 48 ni 132M hiyo afu kakopa 68M.

Sasa mtu akope 68M arudishe 132M huoni kama una upunguani kichwani mwako?
Mbona yuko sahihi nenda bank alafu omba mkopo utajua riba Yake ikoje huyo MTU binafsi alafu ela ni ndefu sana acha alipe tu maana kwa maelezo aliyoandika hapo juu hakuna benk itakayompa mkopo kama huo kwa sasa kwa miaka minne ni sawa weka Na muda atakaa Na ela ya jamaa je angewekeza mwenyewe angepata ngapi
 
We na wewe ndo wale wale tu, njaa njaa na ujanja ujanja.
Yani kila mwezi sh 2.75M x 48 ni 132M hiyo afu kakopa 68M.

Sasa mtu akope 68M arudishe 132M huoni kama una upunguani kichwani mwako?
Shukran Kwa kunisaidia

Riba ya jamaa ipo juu sana mbaya zaid anajiangalia yeye tuu

Hii ni Biashara Kira mwez naitajika niwalipe Wafanyakaz kuna swala la kufatilia vibali vya 9t

Kuna mambo chungu mzima athee
 
Riba ya karibu asilimia 50% sio?

riba 50% ndogo sana jaribu kuuliza wafanyakazi wanaokopa bank tu nmb au crdb mkopo wa miaka 4 riba zao wanazolipa zinakuaje????

hata ukikopa milion 10 kwa miaka minne bank nyingi unalipa.zaidi ya milion 16

na hiyo ni non risk loan ambazo mwajiri anawadhamini....

kwa mkopo wa biashara risk kubwa na riba ni kubwaaa zaidi
 
Noted!
 
Mkuu mambo yangu yameenda vibaya kidogo ningekupa tu ila subiri kontena zangu za sukari zikuruhusiwa pale bandarini nikiuza na kupata faida yake nitakupa uwe unanikumbushaga tu.
Kusaidiana kupo tu ukizingatia sisi wote ni ndugu karibuni.
 
riba 50% ndogo sana jaribu kuuliza wafanyakazi wanaokopa bank tu nmb au crdb mkopo wa miaka 4 riba zao wanazolipa zinakuaje????

hata ukikopa milion 10 kwa miaka minne bank nyingi unalipa.zaidi ya milion 16

Mkuu shukran sana tumeshaambiwa vichaa ni wengi na humu wamo, Riba niliyoweka ni 36% tu in reducing balance , ni ni ya kawaida sana, Microfinance zina charge up to 50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…