Nahitaji pikipiki for private use ushauri wako unahitajika.

Nahitaji pikipiki for private use ushauri wako unahitajika.

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Umofia kwenu wadau,kama title inavyojieleza hapo juu ni kuwa mimi ni muumini wa research kabla ya kuamua kufanya jambo.
Hivi sasa nataka kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,kwanza moyo wangu unapenda nimiliki Honda ace cbd 125 but bei yake ni parefu wakati bajeti yangu ni mil 2.2,mawazo yakahamia kwenye boxer,sijatafiti sana kama kuna aina ngapi za boxer ila nakumbana na kikwazo cha kwamba boxer ni mayai sana hivyo haiwezi kudumu ukizingatia safari zangu ni za off roads.
Bado nipo dilemma,sijapata msimamo thabiti,nategema wataalamu na wazoefu mliopo hapa jukwani mnipe neno la ushauri.
Nawasilisha.
 
Nunua pikipiki ambazo ni rahisi kupata spare zake eg, sanya, san lg,

Ukinunua boxer jiandae kuipaki baada ya miaka mitatu
 
Ahsante kwa mnaoendelea kunipa ushauri wenu wa thamani.
 
Naamini kuna baadhi ya watu humu ndani ni wabinafsi,maana views kibao lakini comments chache.
 
Naamini kuna baadhi ya watu humu ndani ni wabinafsi,maana views kibao lakini comments chache.

Nubia tu bajaji, maana naona unalazimisha ushauri wakati watu hawana cha kukushauri
 
Ahsante kwa ushauri wenu,naamini kila kitu ili kidumu lazima kitunzwe ukiondoa masuala ya ajali,ila hofu yangu ilijazwa na watu wengi kuwa boxer ni mayai hivyo kiasili haidumu ukilinganisha na pikipiki zingine.
 
Nunua TVS King Hlx125. Kwa matumizi yako ni safi kabisa huwezi juta. Ulaji wa mafuta safi. Hazina usumbufu kwakweli. Pia spare parts zipo za kutosha.
 
nimesoma posti yako. Honda ace cbd 125 mimi nazo. bei mil 2.8. kama bado hujanunua pikipiki basi njoo ofisini msasani. tuko msasani, macho, karibu na ccbrt
 
Nunua pikipiki ambazo ni rahisi kupata spare zake eg, sanya, san lg,

Ukinunua boxer jiandae kuipaki baada ya miaka mitatu
Bajet yake ni mil 2.2 wew ynamtajia san lg ya lak 7. Lipikipik gani mara maredio mara sehem ya kuegemea ni umasikin tuu
 
Back
Top Bottom