Nahitaji pool table

Nahitaji pool table

Kumi4

Senior Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
101
Reaction score
106
Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye point, niko Mkuranga nahitaji Pool table, mwenye ufahamu ni wapi naweza pata na gharama zake nitashukuru mno.

Nawasilisha nikiambatanisha na shukran.
 
Kubet na Haya Madude Unayoyaulizia ni moja vyanzo Vijana wengi Kupoteza Ramani....!

Utakuta Vidume Vimemaliza kupiga mswaki tu asubuhi,vipo ama kwenye pool table ama Vipo kwenye Kamari....!

Kazi saa ngapi?
teh..teh teh
 
Hahah nakubaliana na wewe Kaka
 
mwamba analala na 30k+ ya bodi per day...
 
Back
Top Bottom