Nahitaji Porte nina milioni 5

Nahitaji Porte nina milioni 5

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
379
Reaction score
165
Habari, nahitaji Porte CC kuanzia 1280, plate number ianzie D ofa yangu ni milioni 5 cash, nione inbox kwa maongezi zaidi. Isiwe imerudiwa rangi wala kupata ajali.
 
Ukienda show room unapata Porte Kwa milion 12 - 13.5 sasa Kwa bei ya milion 5 sidhani kama utapata alafu namba D?
Anapata bila shida. .zile gari hazina best resale value ukilinganisha na IST au Raum..
Na isitoshe namba D si tatizo...Unaweza ukapata Namba D imechoka na mwingine akawa na namba C imetunzwa vuri sana...
Kwa hiyo mleta mada nakushauri usiegemee kwenye namba D...utapigwa...tafuta namba Yoyote B, C au D yenye hali nzuri kulingana na bajeti yako....japo sina uhakika sana kama porte zipo za namba B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IST na raum hayana shida hata kidogo hata ukikuta namba B au C hakuna mashaka Ila Porte na Ractis ni changamoto kidogo hasa Kwenye body na engine
 
namba B hakunaga zipo C , kuna C nimeoneshwa ila sijaipenda sana , ila nkitulia ntapata gari .
Jana nimepishana na IST namba B....kuna mwenzangu anamiliki Raum namba B....ila ni zile B za mwisho mwisho zinazokaribia C...

B zipo na kuna watu wamezitunza zina hali nzuri kuliko hata baadhi ya C na D

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom