goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Kama kichwa Cha mada kinavojieleza hapo juu kama Kuna mtu ana POS NMB wakala na haitumii au amefunga biashara naomba aniuzie.Itakua vyema kama yupo maeneo ya DODOMA Au BABATI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanataka kufanya maboreshoKati ya benki zenye mambo ya kipuuzi, basi NMB inaongoza. Wamesitisha utoaji wa hizo mashine na kuanzisha mfumo mpya wa simu ambao siyo rafiki hata kidogo kwa wateja na pia mawakala.
Wanakataa kutoa hizo mashine, huku benki nuingine kama CRDB zikiendelea kuzitumia. Wameacha kutoa hizo mashine, huku wale mawakala wa mwanzo wakiendelea kuzitumia!
Hii jeuri sijui wanaitoa wapi hawa NMB!!!
Hawana maboresho yoyote yale! Ni jeuri yao tu. Wana miaka ya kutosha tu tangu walipositisha utoaji wa hizo mashine zao za uwakala. Na hakuna chochote kinachoendelea.Labda wanataka kufanya maboresho
Habari Mwenye Uzi huu JamiiForums,Kama kichwa Cha mada kinavojieleza hapo juu kama Kuna mtu ana POS NMB wakala na haitumii au amefunga biashara naomba aniuzie.Itakua vyema kama yupo maeneo ya DODOMA Au BABATI
Sawa sawaHabari Mwenye Uzi huu JamiiForums,
Tunashukuru sana kwa mrejesho wako na hamu ya kupata POS za NMB Wakala katika maeneo yako.
Kwa manufaa ya wanajukwaa wote, POS za NMB Wakala zitaanza kupatikana Kwenye matawi yetu yote kuanzia mwisho wa mwezi huu October 2023.
goodlif1600 tutumie ujumbe mfupi DM na utakuwa wa kwanza kupata POS yako ya NMB Wakala mwisho wa mwezi huu.
Mkuu na Mimi nahitaji nipo Kalambo Rukwa naomba sana if possible niwe wa mwanzo mkuuHabari Mwenye Uzi huu JamiiForums,
Tunashukuru sana kwa mrejesho wako na hamu ya kupata POS za NMB Wakala katika maeneo yako.
Kwa manufaa ya wanajukwaa wote, POS za NMB Wakala zitaanza kupatikana Kwenye matawi yetu yote kuanzia mwisho wa mwezi huu October 2023.
goodlif1600 tutumie ujumbe mfupi DM na utakuwa wa kwanza kupata POS yako ya NMB Wakala mwisho wa mwezi huu.
Hii ni account ya nmb kweli?Habari Mwenye Uzi huu JamiiForums,
Tunashukuru sana kwa mrejesho wako na hamu ya kupata POS za NMB Wakala katika maeneo yako.
Kwa manufaa ya wanajukwaa wote, POS za NMB Wakala zitaanza kupatikana Kwenye matawi yetu yote kuanzia mwisho wa mwezi huu October 2023.
goodlif1600 tutumie ujumbe mfupi DM na utakuwa wa kwanza kupata POS yako ya NMB Wakala mwisho wa mwezi huu.
Kwa hiyo huyu NMB Tanzania ni TAPELI KUMBE?
Utapigwa soma hapo juuMkuu na Mimi nahitaji nipo Kalambo Rukwa naomba sana if possible niwe wa mwanzo mkuu
Utapigwa soma hapo juu
OkWamenirudia kusema wamekosea ni kweli hii huduma itakuwepo tena inshaallah.
Ahueni. Maana ule mfumo wenu mpya wa kutaka mawakala kutumia simu, kiukweli ulikuwa haueleweki.Habari Mwenye Uzi huu JamiiForums,
Tunashukuru sana kwa mrejesho wako na hamu ya kupata POS za NMB Wakala katika maeneo yako.
Kwa manufaa ya wanajukwaa wote, POS za NMB Wakala zitaanza kupatikana Kwenye matawi yetu yote kuanzia mwisho wa mwezi huu October 2023.
goodlif1600 tutumie ujumbe mfupi DM na utakuwa wa kwanza kupata POS yako ya NMB Wakala mwisho wa mwezi huu.
Ule mfumo wao unazingua sana nimepambania mashine sana lakin wap...!Ahueni. Maana ule mfumo wenu mpya wa kutaka mawakala kutumia simu, kiukweli ulikuwa haueleweki.
Potelea mbali ndugu. Tutanunua tu. Hata wakitaka na rushwa, tutawapa. Maana hakuna namna. NMB ndiyo ina wateja wengi zaidi ukilinganisha na benki nyingine. Hivyo hata ukiwa nayo, mzunguko wake pia ni mkubwa.Ule mfumo wao unazingua sana nimepambania mashine sana lakin wap...!
Juzi nkapata ahuen kuskia watazudusha tena sokon lakin watakua wanaziuza.....
Tujiandae kwa bei zao...
Sent from my Pixel 6 using JamiiForums mobile app