Nahitaji program ya biashara. Software

Nahitaji program ya biashara. Software

Tumia SmartBusiness
Screenshot_20240820_222944_Google Play Store.jpg
 
Duh.
Kwa hiyo,akipata hiyo Excel amemaliza! Kazi ipo. Kuipata,ni kitu kimoja. Na kuitumia,ni kitu kingine. Ataitumia bila kufundishwa? Unamjua mtu anaefundisha bule!?
Kwa maelezo yake,alihitaji software yake.
Exel ni more than just software watu wengi hamuijui
 
Sio
Exel ni more than just software watu wengi hamuijui
Sio kwamba hatujui,labda we ndo hujui. Swali hapa ni kwamba hiyo 50k inatosha kuwa trained kutumia Excel,kama mbadala wa hitaji lake? Kabla ya kumpeleka kwenye excel,ana 50k budget ya software yake. Mmemueleza sababu ya kutokubaliana na ombi lake?
 
Kuna software inaitwa "Intuit Quickbook" ndio software the best kwa maswala hayo ya biashara na kihasibu! Mpaka risiti inatoa.

Wasomi na wataalam wanaielewa hii. Lazima watakushauri hivi na wata-appreciate hapa 😊

Jaribu!
 
Basic knowledge ya Exel inafundishwa kwa 30k hayo mengine atajufunza taaratibu na itasaidia zaidi hizo App
 
Nadhani kama unaweza tumia excel, labda kama unataka complications sana. Siku hizi MS Office ni MUST-KNOW!
 
Kama ni simple njoo PM nikutengenezee ila nitauhost mwenyewe wewe kazi yako kuutumia tu hutakuwa na access na source code (nitakupa service kwa mwaka baada ya hapo nitakuwa nimeupgrade sana so itabidi tukubaliane)

Kama unaharaka sana uongo coz ninamfumo niukamilishe then nitakuwa free sana kuifanya hiyo kazi maana nitakuja kuuza baadae
 
Kama duka lina vitu vingi tumia inflow invetory ila kama ndo unaanza tumia excel au tafuta playstore
 
Hapo tumia excel tu...tafuta wanafunzi wakuwekee cracked tu hapo wakupe na shule kidogo...
Watu wanataka kuweka ugumu wakati wengi tunatumia cracked MS office kwenye pc zetu.
 
Back
Top Bottom