Nahitaji promoter kwa ajili kunisimamia comedy

Mr_H2so4

Member
Joined
Aug 3, 2024
Posts
20
Reaction score
14
Sorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter wa kunipandisha katika majukwa ya comedy na imani ndiyo nitakapotokea na kipaji kuonekana.
 
Weka link ama video kwanza za vichekesho vyako..kila la kheri me not nao wanangu wawili nimesoma nao na wanafanya poa sasa hv cleyton msosa na Leonardo
Okay but am interested kwenye stand up comedy .ndiyo kitu naweza kwa kiasi kikubwa
 
Sorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter wa kunipandisha katika majukwa ya comedy na imani ndiyo nitakapotokea na kipaji kuonekana.
Tumia mitandao ya kijamii tumia paid ads kuwafikia wengi
 
Sorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter wa kunipandisha katika majukwa ya comedy na imani ndiyo nitakapotokea na kipaji kuonekana.
Hivi yale majukwaa ya kuchekesha kama cheka tu au watubaki huwa wanalipia kupanda pale? Au utaratibu wake huwa uko vipi? Nadhani ni sehemu nzuri ya kuanzia ili uoneshe kitu ulicho nacho kwa watu kwanza before ya kuwaza pesa, halafu pia sijajua umeshindwaje kutumia mitandao ya kijamii, ni kwamba Kila ukifanya video haziendi au ni nini? Na kama video zako haziendi basi itakua bado haujawa vizuri sana so uendelee kuongeza Juhudi kwenye namna ya kuandaa hizo script zako na uendelee kupush.

Kwa maana haya mambo huwa hayatokei tu kwa clip mbili tatu ila huwa yanatokea baada ya clip nyingi sana na siku moja utaona clip yako moja imeenda viral... So hautakiwi kukata tamaa coz kwanza industry yenu bado changa sana kwahiyo kama uko na contents za maana ni rahisi kuonekana.

Weka link tuone yaliyomo kwanza ili tuweze kutoa comment.
 
Ukisema umetumia mitandao ya kijamii na ukaona ugumu sijakuelewa maana hayo ndio majukwaa yenyewe?Huko ndio kutakapokufikisha kwa promoters.Kama kweli yaliyomo tano wewe usiache kupambana mtandaoni,mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom