Nahitaji promoter kwa ajili kunisimamia comedy

Nahitaji promoter kwa ajili kunisimamia comedy

Fungua Account IG (Instagram)

Ukimaliza kila post yako ilipie hata 100K ili iwafikie watu wengi .

Ukiweza hii hatua utaona feedback kubwa.

Then mtafute Coy Mzungu hata Kwa Email this guy is humble atakusaidia jaribu ku-DM au mfate Kwa mama yake mama mawigi.

Then tuambia unatumia jina gani IG
 
Fungua Account IG (Instagram)

Ukimaliza kila post yako ilipie hata 100K ili iwafikie watu wengi .

Ukiweza hii hatua utaona feedback kubwa.

Then mtafute Coy Mzungu hata Kwa Email this guy is humble atakusaidia jaribu ku-DM au mfate Kwa mama yake mama mawigi.

Then tuambia unatumia jina gani IG
Okay thanks for advice let's do these .alafu nitarudi
 
Ukisema umetumia mitandao ya kijamii na ukaona ugumu sijakuelewa maana hayo ndio majukwaa yenyewe?Huko ndio kutakapokufikisha kwa promoters.Kama kweli yaliyomo tano wewe usiache kupambana mtandaoni,mpaka kieleweke.
Thank u..mitano tena mkuu
 
Hivi yale majukwaa ya kuchekesha kama cheka tu au watubaki huwa wanalipia kupanda pale? Au utaratibu wake huwa uko vipi? Nadhani ni sehemu nzuri ya kuanzia ili uoneshe kitu ulicho nacho kwa watu kwanza before ya kuwaza pesa, halafu pia sijajua umeshindwaje kutumia mitandao ya kijamii, ni kwamba Kila ukifanya video haziendi au ni nini? Na kama video zako haziendi basi itakua bado haujawa vizuri sana so uendelee kuongeza Juhudi kwenye namna ya kuandaa hizo script zako na uendelee kupush.

Kwa maana haya mambo huwa hayatokei tu kwa clip mbili tatu ila huwa yanatokea baada ya clip nyingi sana na siku moja utaona clip yako moja imeenda viral... So hautakiwi kukata tamaa coz kwanza industry yenu bado changa sana kwahiyo kama uko na contents za maana ni rahisi kuonekana.

Weka link tuone yaliyomo kwanza ili tuweze kutoa comment.
Mkuu wewe ni kama wazazi wa kibongo, unamsema mtotoo halafu mwisho unaomba link uone ili uweze kucomment ilhali umeshasema mengi tayar
 
mimi naamini ukiwa na uwezo wakupambania icho unachikiamini imetosha record video tupia hapa watu waone wakusupport
 
Back
Top Bottom