Sura ni zile pasono😂😂Sawa sawa. Ukitaka niwachekeshe mnipe kwanza tofauti kati ya sura na uso
Weka clip zako hap tucheke. Au tupe account yako ya insta tukakuangalie na kukufollowOkay but am interested kwenye stand up comedy .ndiyo kitu naweza kwa kiasi kikubwa
Tumia mitandao ya kijamii tumia paid ads kuwafikia wengiSorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter wa kunipandisha katika majukwa ya comedy na imani ndiyo nitakapotokea na kipaji kuonekana.
Unalipia ili post yako ionekane kwa watu wengi. Mfano wewe lazima huwa unakutana posts ambazo zimetoka kwa watu au pages ambazo hata hujazifollowHzo paid ads ndio ziko VP
Hivi yale majukwaa ya kuchekesha kama cheka tu au watubaki huwa wanalipia kupanda pale? Au utaratibu wake huwa uko vipi? Nadhani ni sehemu nzuri ya kuanzia ili uoneshe kitu ulicho nacho kwa watu kwanza before ya kuwaza pesa, halafu pia sijajua umeshindwaje kutumia mitandao ya kijamii, ni kwamba Kila ukifanya video haziendi au ni nini? Na kama video zako haziendi basi itakua bado haujawa vizuri sana so uendelee kuongeza Juhudi kwenye namna ya kuandaa hizo script zako na uendelee kupush.Sorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter wa kunipandisha katika majukwa ya comedy na imani ndiyo nitakapotokea na kipaji kuonekana.