DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Okay thanks for advice let's do these .alafu nitarudiFungua Account IG (Instagram)
Ukimaliza kila post yako ilipie hata 100K ili iwafikie watu wengi .
Ukiweza hii hatua utaona feedback kubwa.
Then mtafute Coy Mzungu hata Kwa Email this guy is humble atakusaidia jaribu ku-DM au mfate Kwa mama yake mama mawigi.
Then tuambia unatumia jina gani IG
Sura yake tu inatosha kuchekesha. Asome tuSoma sana kaza sana...
Soma sana wazazi wako wamekupeleka chuo kusoma sio kuchekesha
Then jifunze kitu kimoja kinaitwa number .Okay thanks for advice let's do these .alafu nitarudi
Mkuu wewe ni kama wazazi wa kibongo, unamsema mtotoo halafu mwisho unaomba link uone ili uweze kucomment ilhali umeshasema mengi tayarHivi yale majukwaa ya kuchekesha kama cheka tu au watubaki huwa wanalipia kupanda pale? Au utaratibu wake huwa uko vipi? Nadhani ni sehemu nzuri ya kuanzia ili uoneshe kitu ulicho nacho kwa watu kwanza before ya kuwaza pesa, halafu pia sijajua umeshindwaje kutumia mitandao ya kijamii, ni kwamba Kila ukifanya video haziendi au ni nini? Na kama video zako haziendi basi itakua bado haujawa vizuri sana so uendelee kuongeza Juhudi kwenye namna ya kuandaa hizo script zako na uendelee kupush.
Kwa maana haya mambo huwa hayatokei tu kwa clip mbili tatu ila huwa yanatokea baada ya clip nyingi sana na siku moja utaona clip yako moja imeenda viral... So hautakiwi kukata tamaa coz kwanza industry yenu bado changa sana kwahiyo kama uko na contents za maana ni rahisi kuonekana.
Weka link tuone yaliyomo kwanza ili tuweze kutoa comment.
Hapo nimemsema kwa kukosa userious na sasa nataka nione kama hiko anachokipambania anacho au Hana ili nimseme tena😂😂😂😂Mkuu wewe ni kama wazazi wa kibongo, unamsema mtotoo halafu mwisho unaomba link uone ili uweze kucomment ilhali umeshasema mengi tayar
Hii nimecheka ...umenichekesha..mkuu unakipajiHebu tuchekeshe kwanza humu JF..
Kuna tofauti sana kati ya Kuchekesha na Kuchekwa. Muda mwingine unaweza kudhani Unachekesha kumbe Unachekwa
Lete vitu lete vituuuu mkuu.🙌🙌inatosha ..yaliyomo yanakuja😂
Aende AkachekesheeNani ana namba ya coy mzungu ampigie kuna mtu ana kipaji cha kuchekesha