Mi mtu mzima, anantishia nyau Eti kosa si kosa,anasema tuachaneAende Akachekeshee
Mbingu utaziskia tu mkuuHapo nimemsema kwa kukosa userious na sasa nataka nione kama hiko anachokipambania anacho au Hana ili nimseme tena๐๐๐๐
Tuma clip apa tuioneSorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter wa kunipandisha katika majukwa ya comedy na imani ndiyo nitakapotokea na kipaji kuonekana.
Jinga wewe.Soma sana kaza sana...
Soma sana wazazi wako wamekupeleka chuo kusoma sio kuchekesha