Nahitaji rafiki - Mwanamke wa miaka 30 - 50

Richard.com

New Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1
Reaction score
1
Naitwa Richard 35 Mkristo naishi DAR Nina Familia Ila hitaji langu NIPATE rafiki mwanamke MTU mzima 30+ mpaka 50+ lengo ni kuwa namtu wa karibu zaidi na mwenye tija katika maisha ya kila siku namba yangu 0757 94 04 60
 
Shaka ondoa utapata watakuja inbox!

Urafiki ni jambo jema na lenye kuleta furaha ya nafsi.

Tena hapo uliposema wenye tija ungepigipa mstari kabisa kuonesha msisitizo!
 
Naitwa Richard 35 Mkristo naishi DAR Nina Familia Ila hitaji langu NIPATE rafiki mwanamke MTU mzima 30+ mpaka 50+ lengo ni kuwa namtu wa karibu zaidi na mwenye tija katika maisha ya kila siku namba yangu 0757 94 04 60
Ndoa ngumu kweli sikuhiz,ni lazima uwe na rafiki pembeni wa kutuliza
 
Back
Top Bottom