Nahitaji rafiki mzuri wa kike...

Nahitaji rafiki mzuri wa kike...

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
789
Reaction score
489
Habari wana MMU! Najitokeza kwa mara ya Kwanza kuleta hitaji hili.

Jinsia yangu:Mwanaume; Umri wangu: 28 ;

Elimu Yangu: Degree;

Kazi Yangu: Mwalimu Sekondari;

Makazi yangu Dar es salaam;

Kabila: Msukuma wa Mwanza jijini ;

Dini/Dhehebu:Mkristo/KKKT;

Rangi : Maji ya Kunde; Urefu:

Futi 5.

SIFA ZA RAFIKI NINAYEMHITAJI

Jinsia:Msichana;

Kabila:Lolote tu ila awe mtanzania;

Dini/dhehebu: Mkristo/Protestant;

Rangi;Mweupe/Maji ya kunde;

Urefu;4.5Feet kuendelea;

Size ya Mwili: Awe na mwili wa kubebeka na mtu mmoja( kilo zisizozidi 70) ;

Kazi: Yoyote ile ila tu awe na kazi halali/njema

Tabia:Mcheshi,mwenye huruma,mkarimu n.k;

Makazi: Awe DSM, Moro, Tanga, K'njaro, Arusha au Mwanza(Kwa sababu mikoa hii kwa mimi ni rahisi kuifikia)

NATUMAINI NITAMPATA RAFIKI WA MOYO WANGU HUMU KAMA MUNGU AKIPENDA!


Asanteni
 
Mh r u sure unatafuta urefu wa 3.5 feet?? Mh
 
Back
Top Bottom