Nahitaji rafiki serious for future relationship

ngoja sie tuliondolewa sifa tukae pembeni.
ila mwanaume wa zaidi ya futi 6 kumpata ni shughuli ujue!!!
nakumbuka nikiwa chuo darasani tulikuwa 150 na wa urefu huo walikuwa 6 na wote wameshaoa.
 
ngoja sie tuliondolewa sifa tukae pembeni.
ila mwanaume wa zaidi ya futi 6 kumpata ni shughuli ujue!!!
nakumbuka nikiwa chuo darasani tulikuwa 150 na wa urefu huo walikuwa 6 na wote wameshaoa.

Hahahaa, asante rafiki kwa takwimu
Inamaana wanaume wafupi ni wengi kuliko warefu
 
kwa huyu dem mtakesha.tudanganyaneni tu tukiwa hapa.but no muolewaji.ni ujuaji mtupu pyuuuuuh jarbuni ntanipa majibu hapa hapa
 
interview lini na ofisi yako ipo wapi hapo mwanza make yule wa Nigeria alifanyia kituo cha radio.
 
It's not easy to find a university graduate who's single. Did you say you're God fearing? Stop lying. Kwani weusi waliumbwa na nani? I'll advice you to look for somebody your class
 
U r too tall..ni kweli Au uongo maana 179 Sio mchezo..na ndomana unakimbiwa na men 🙂
 
It's not easy to find a university graduate who's single. Did you say you're God fearing? Stop lying. Kwani weusi waliumbwa na nani? I'll advice you to look for somebody your class

Thanks for your judgement and advice
 
wew ni bikira au unaleta tu mbwembwe humu ndani na vip shule si mnafunguwa trh 13,tution unaenda? mpaka shule zifunguwe tutaona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…