Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja sie tuliondolewa sifa tukae pembeni.
ila mwanaume wa zaidi ya futi 6 kumpata ni shughuli ujue!!!
nakumbuka nikiwa chuo darasani tulikuwa 150 na wa urefu huo walikuwa 6 na wote wameshaoa.
ngoja sie tuliondolewa sifa tukae pembeni.
ila mwanaume wa zaidi ya futi 6 kumpata ni shughuli ujue!!!
nakumbuka nikiwa chuo darasani tulikuwa 150 na wa urefu huo walikuwa 6 na wote wameshaoa.
Mhaya hapana kamugisha....mimi bado mbichi bana ubibi bado sana,nimesoma kdg bado ntaendelea
Aisee nilikosea ni 169 duuh
Mimi ni binti ninaejiheshimu,mvumilivu inapobidi, mcheshi, mcha Mungu, hardworking
Mrefu kama 179cm, dark skinned ila sio sana.
Sifa za rafiki wa kiume ninaehitaji;
Mrefu anizidi, athletic body haha, asiwe mweusi sana, God fearing(roman catholic would be the best), age 26-32 and above maybe, awe mwanza itakuwa vizuri zaidi a responsible and hardworking man, asiwe na mentality ya kuajiriwa tu, degree holder or more than that, awe ni mcheshi na mtu wa kujichanganya na watu na muhimu awe tayari kupima HIV.
Mwenye sifa nitakazotaja hapo chini please usisogee pm. Any Muslim man, kama kabila lako ni muhaya au mnyakyusa hehe, height below 179cm, mwanaume mwenye mtoto(not a main factor ila sitokupa kipaumbele), asiwe amespecialize kwenye healthy faculty kama doctor or lab angalau pharmacist kidogo.
PM iko wazi na please sitaki vijembe hapa and samahani kwa kuchanganya lugha natumai nimeeleweka