wew ni bikira au unaleta tu mbwembwe humu ndani na vip shule si mnafunguwa trh 13,tution unaenda? mpaka shule zifunguwe tutaona mengi

Can i take this oppotunity?Mimi ni binti ninaejiheshimu,mvumilivu inapobidi, mcheshi, mcha Mungu, hardworking
Mrefu kama 179cm, dark skinned ila sio sana.
Sifa za rafiki wa kiume ninaehitaji;
Mrefu anizidi, athletic body haha, asiwe mweusi sana, God fearing(roman catholic would be the best), age 26-32 and above maybe, awe mwanza itakuwa vizuri zaidi a responsible and hardworking man, asiwe na mentality ya kuajiriwa tu, degree holder or more than that, awe ni mcheshi na mtu wa kujichanganya na watu na muhimu awe tayari kupima HIV.
Mwenye sifa nitakazotaja hapo chini please usisogee pm. Any Muslim man, kama kabila lako ni muhaya au mnyakyusa hehe, height below 179cm, mwanaume mwenye mtoto(not a main factor ila sitokupa kipaumbele), asiwe amespecialize kwenye healthy faculty kama doctor or lab angalau pharmacist kidogo.
PM iko wazi na please sitaki vijembe hapa and samahani kwa kuchanganya lugha natumai nimeeleweka
That was four years ago broCan i take this oppotunity?
Eti hataki waheheMimi ni binti ninaejiheshimu,mvumilivu inapobidi, mcheshi, mcha Mungu, hardworking
Mrefu kama 179cm, dark skinned ila sio sana.
Sifa za rafiki wa kiume ninaehitaji;
Mrefu anizidi, athletic body haha, asiwe mweusi sana, God fearing(roman catholic would be the best), age 26-32 and above maybe, awe mwanza itakuwa vizuri zaidi a responsible and hardworking man, asiwe na mentality ya kuajiriwa tu, degree holder or more than that, awe ni mcheshi na mtu wa kujichanganya na watu na muhimu awe tayari kupima HIV.
Mwenye sifa nitakazotaja hapo chini please usisogee pm. Any Muslim man, kama kabila lako ni muhaya au mnyakyusa hehe, height below 179cm, mwanaume mwenye mtoto(not a main factor ila sitokupa kipaumbele), asiwe amespecialize kwenye healthy faculty kama doctor or lab angalau pharmacist kidogo.
PM iko wazi na please sitaki vijembe hapa and samahani kwa kuchanganya lugha natumai nimeeleweka
In case of mkuu, may alipata kisha akaachika tena, wadau tupo kutumia fursa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]That was four years ago bro
Mdaka chozi part II sio???In case of mkuu, may alipata kisha akaachika tena, wadau tupo kutumia fursa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jf inakufungulia dunia kuwa unachotakaaa....!