cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Bado hukakua tuRafiki mwenye chura nikitembea nae barabarani hupendeza sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hukakua tuRafiki mwenye chura nikitembea nae barabarani hupendeza sana!
Rafiki chura ipo?Bado hukakua tu
Mi sina ila kifua kipo poa,utakipenda[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Rafiki chura ipo?
Rafiki mimi wala sipendi kifua,mimi nataka chura tu basi!Mi sina ila kifua kipo poa,utakipenda[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Weka PICHAMi sina ila kifua kipo poa,utakipenda[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
....kugegeda tena? Wewe hapana.mimi nataka urafiki na wewe ila kukuleta huku kama ni lengo lako limenola, nina mke na watoto huku naogopa ntakugegeda bure
Naona tunapimana imani kipenziKichwa Kichafu waitwa huku
Kipenzi wewe si uko morocco[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona tunapimana imani kipenzi
diaspora kutoka kanda ya kaskazini Mmi ni MKILIMANJARONIAN (MO TOWN) karibu......salaam wana jukwaa:
....Lengo la uzi huu napenda kupata rafiki (best friend) diaspora.
....Rafiki huyu ninae tamani kukutana nae ningependa awe anaishi nje atleast kwa miaka kuanzia 4+.... Mzoefu wa vitu mbalimbali,Na kama ametembelea nchi mbalimbali itapendeza sana.
....Rafiki huyu ningependa awe ni mtu anaejitambua, mwenye ufahamu wa mambo mbalimbali, kijamii, masomo n.k.
....Urafiki wetu utakuwa ni wa ku share mambo personal, ushauri ambayo sio ya kuweka hapa jukwaani.
....Kama wewe ni mhusika (diaspora) umependwezwa na nilichokiandika hapa please karibu sana pm.
....Mimi ni ke na rafiki ninaemtaka awe Me/ke so long as lengo langu litimie.
....Asanteni sana, mhusika karibu sana njoo direct Pm tuongee.
kisa mwendokasi unafika unahisi ni dispora kipenzi? unajua sijaribiwi kama JIWEKipenzi wewe si uko morocco[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
....,ahahaha punguza kutembea nae.bro
nina gf anachura balaa yaani mpaka huwa najisikia uncomfortable kutembea nae yaani hasa maeneo ya wahuni wa stendi maana hiyo miluzi na makelele
Kwa ajiri ya Diaspora....chura ya nini tena?