Nahitaji rafiki wa kike baadae awe mke wa ndoa

Nahitaji rafiki wa kike baadae awe mke wa ndoa

jina langu

Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
54
Reaction score
98
Habari za usiku huu wana JF,

Tangu nijiunge na JF nimebahatika kuona thread kadhaa za wanaume walioleta mrejesho baada ya kutangaza kutafuta mke japo wengine wamepotea bila kurudi lakini miongoni wameweza kurejesha kile walichokutana nacho na wengine mirejesho ya tayari wameshapata.

Kwa upande wangu pia baada ya kuona umri unasogeasogea kunako kuchumbia nimeona ni vema nikaanza na hapa JF ili baadae tukichunguzana na kuridhiana basi tuweze kuishi maisha ya ndoa.

Mimi ni mwanaume mrefu, mwembamba, maji ya kunde, elimu yangu ni kidato cha nne umri wangu miaka 24, na maisha yangu ni ya kawaida sana imani yangu mkristo! In short niko hivyo.

Lakini nilipenda kupata binti under 23 years, mkristo, mwenye focus na maisha, awe tayari kuishi popote, kama upo tayari au kuna mtu unamfahamu ana tabia nzuri unaweza kunifuata pm tuweke mambo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Back
Top Bottom