Le Professor
Member
- Sep 25, 2018
- 57
- 80
Kama mnavyo fahamu nafsi nyonge nahitaji mtu wa kuanza nae mapenzi tujaliwe tufike sehemu nzuri kwenye penzi letu
Mimi
Miaka 28+
Graduate nimeajiriwa pia nimejiajiri
Naishi DSM na ni mzaliwa wa hapa hapa ila nina asili ya kingoni/songea
Mkristu nina hofu ya mungu
Open-minded
Kwa sasa bado kijana nakula bata na kuwekeza kwenye miradi mbalmbali ndio maono yangu
Nahitaji mtu tufanye yote kwenye mapenzi kuanzia ya nje hadi ya ndani
Mwanamke ninaye mtaka siangalii kigezo chochote ila tu asiwe mshirikina au kuwa na imani za ajabu ajabu zisizo mpendeza mungu
Imeandikwa muogope mwanamke mchawi
Siangaliii umrii
Wala tabia
Wala sura
Aliyekuwa tayari anifate Pm
Nipo serous in very fun way tusichezeane hisia kabisa hii ishu ni very sensitive