Nahitaji rafiki wa kike tuanze safari ya kuelekea ndoa (trial and error)

Nahitaji rafiki wa kike tuanze safari ya kuelekea ndoa (trial and error)

Mmh! Naogopa sana
Hasa hapo unaposema una hofu ya Mungu(You are Lier) then Try and Error
Aka babu sitak mwili wangu Uchezee Tatumzuka.
Yan unipigize kisha ukaoe mwingine!!
Aaargh! Yani nyie Wanaume Sometime ni pasua kichwa sana...
Amini nakwambia mkuuuu ni heri ukweli mchungu kuliko uongo mtamu
Hofu ya mungu ninayo ndio maana exception niliyoiweka ni sitaki mshirikina period
Kuhusu try and error mawazo yangu ni either wote tunashinda au tunajifinza kitu open minded
 
umekua brainwashed na topics za humu..lol...wanawake wenzangu tusiwe tunaleta mada zinazoumiza jinsia hio nyingine ....lol ...inafanya wanaume Kama huyu kudhani wanawake ni mazimwi 😂😂😂,,,, kabaki anaogopa kuji commit into relationship...lol
 
Rabeka
 
Back
Top Bottom