Nahitaji rafiki wa kike

Nahitaji rafiki wa kike

Hapo ushatega nyavu kama nakuona ukirefresh pm na notifications kila muda.

Anyway, nakutakia kila la kheri mkuu.
 
kwahiyo huyo ni mm
Mkuu samahani, lakini wanawake wengi wa Sinza ni wachunaji Tu wanawezana na Wakongo
Maana wakongo wengi familia zao ni matumbo yao other side hawana tegemezi
 
Shunie ni wa sinza mkuu
Ndio niliwahi vutiwa na hiyo picha yake Shunie. nikaazimia kumtongoza ikabidi nifatilie michango yake hum JF nikagundua niwa Sinza sikusema chochote nilitoka nduki,,,,[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ninjas never die... ulizingua aseeh
 
Sio lazima ujenge kibanda unaonja tu
Mkuu Sinza hata kama ni kibanda cha kuhama kodi ya Mara moja unajenga kibanda buguruni au temeke kwa wahaya.
Mishahara wa laki 5 hautoshi Ku spend 1 day kwa nyonyo nzuri ya sinza
 
Mkuu samahani, lakini wanawake wengi wa Sinza ni wachunaji Tu wanawezana na Wakongo
Maana wakongo wengi familia zao ni matumbo yao other side hawana tegemezi
Kwahiyo wanaoishi sinza wote wapo hivyo
Ndio niliwahi vutiwa na hiyo picha yake Shunie. nikaazimia kumtongoza ikabidi nifatilie michango yake hum JF nikagundua niwa Sinza sikusema chochote nilitoka nduki,,,,[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sinza wanapaweza Wakongo au wauza ng'ada hela za halali hutafti nyonyo ya Sinza

Mkuu Sinza hata kama ni kibanda cha kuhama kodi ya Mara moja unajenga kibanda buguruni au temeke kwa wahaya.
Mishahara wa laki 5 hautoshi Ku spend 1 day kwa nyonyo nzuri ya sinza

Mkuu hata kama banda la kukokota kwa nyonyo ya Sinza buguruni au Temeke kwa wahaya unajenga vibanda
Sinza hawafai
 
Back
Top Bottom