Nahitaji rafiki wa kike

Nahitaji rafiki wa kike

Tatzo ukiwa na rafk wakike...
Ata kama ham date...
Yy kupitia yale mazoea anaanza kukuomba pesa, vocha..anakugeuza mpenzi...ajipatie mahtaj madogo madogo....na ukishamfanya awe rafk utamwogopa2 kufunguka
Eh ulitaka aombe nn tena
 
Tatzo ukiwa na rafk wakike...
Ata kama ham date...
Yy kupitia yale mazoea anaanza kukuomba pesa, vocha..anakugeuza mpenzi...ajipatie mahtaj madogo madogo....na ukishamfanya awe rafk utamwogopa2 kufunguka
Urafiki jaman ni wakati wa Raha na huzuni
 
Back
Top Bottom