Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
kumbe unatafuta mwalimu unfortunately mm ni IT technician nenda jukwaa la elimu utawaonaNataka anifundishe
rafiki unampangia miaka unampangia elimu ....utamlipa nini
Hahahah siyo ubaguzi bhana najaribu kutafuta clarification ukute mrembo anataka kupractice ngeli ili awe fiti zaidi kama alivyofanya yule msanii.
unazungukaaaaaa.......short and clear sijaolewa jamani natafuta mume..mbna watu wanakuelewa tu
teh teh teh! kumbeee! ung'eng'e hapo sio tabu; hapo kwenye umri!!!
Kwani walimu sio watu? Hawafai kuwa marafiki?
eti wanapokeo mshahara mdogoo! Kazi yoyote ina dharauliwa au kuthaminiwa kutokana na kipato inachotoa!
Nataka anifundishe
hahahaha anatafuta elimu elimu HapaKazituNahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni