Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
Napenda kujua wasifu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
Taifa lina msiba ww unatafuta wanaume.. Una akili kweli ww? R.I.P DEO FIRIKUNJOMBE mbele yako nyuma yetu.
PM ni nini waungwana?
Yap....siku hizi unakuta mtu anaweka vgezo zaidi ya mia vya mtu anaemtaka
wakati yeye mwenyewe vigezo havitoshi
ni sawa na kampuni iweke vigezo vya kuajiri viingi wakati mshahara tu shida kulipa
Watu bwana,I want this I want that! Utadhani they worth it basi
Hapa kataja elimu, ila tukijitokeza sisi walimu atatupotezea. Haya bana, kila la kheri.
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
hapa kazi tu!!!
Hapa kataja elimu, ila tukijitokeza sisi walimu atatupotezea. Haya bana, kila la kheri.
Nataka anifundishe