Nahitaji Rafiki wa kiume

Sijawahi kukutana na ombi lenye vipaumbele kama hili haya maombi yako yamepitishwa niPM upokee maujanja ya kielimu za maendeleo ya kitaifa na kimataifa
 
Yap....siku hizi unakuta mtu anaweka vgezo zaidi ya mia vya mtu anaemtaka
wakati yeye mwenyewe vigezo havitoshi

ni sawa na kampuni iweke vigezo vya kuajiri viingi wakati mshahara tu shida kulipa

Watu bwana,I want this I want that! Utadhani they worth it basi
 
Watu bwana,I want this I want that! Utadhani they worth it basi

Generation ya sasa wengi wana hiyo 'entitlement feelings'
unakuta mtoto anamnunia mama yake kwa kushindwa kulipia DSTV..
 
Mim na vingezo vyote muhimu ila wew huna hata kingezo kimoja ninacho kihitaji mim!
 
Unataka mwenye elimu-dunia? au mwenye Elimu-ahela ?

BTW... Wewe unayo 'ELIMU' ?
 
Mimi nina degree toka street university pia hard knocks university pia kama utanipenda niazime mtaji tuanzishe kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…