Nahitaji Rafiki wa kiume

Nahitaji Rafiki wa kiume

Bashite ana ziro ila anawakimbiza wakubwa na hela zao njoo kwangu acha ubaguzi
 
Umeshapatdymilly, post: 14340453, member: 321605"]Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
Umeshapata njoo pm[/QUOTE]
No ya cm Please
 
Mimi hapa ni PM ila usije kubadilisha mawazo dada angu...Sihitaji mke!
 
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni

wasomi wapo lkn hawana vyeti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshapatdymilly, post: 14340453, member: 321605"]Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni
Umeshapata njoo pm[/QUOTE]
Mimi nipo nna 41
 
Mkubwa mwenzio nipo hapa, elimu ninayo, cheti ninacho mpaka cha kuzaliwa na sijawahi kupata supp wala C.Kazi ndio ngumu ajira hakuna , Karibu Sana Kama Upo serious. Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom