Nahitaji Ramani ya Single room Sebule na jiko

Nahitaji Ramani ya Single room Sebule na jiko

Ulitaka kitu kizuri, fanya haya:
1. Chora chini (roughly) kile unachokiwaza kichwani kwako.

2. Mtafute mchora ramani, mpe huo mchoro wako, mawazo yako, mueleze ukubwa na mazingira ya kiwanja chako. (Patana naye, mpe kazi, msumbue mpaka kupata kile unachokitaka).

Ipo siku utakuja hapa kunishukuru.
 
Habari nahitaji Ramani ya Chumba kimoja sebule na jiko , iwe simple not complicated

NB ukiwa maeneo ya Morogoro ni contact tuonane
Just Google 'simple one bedroom house plan' utapata hadi vipimo.
 
20220709_105220.jpg
 
Back
Top Bottom