Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
asilimia kubwa wauzaji wote wa type ya dick na ephra rim zao huwa ni zile zile tuRim zinatoka kiwanda kimoja China ila mikato tu tofauti! Unataka niambia rim za BSN anazouza Ephra na BSN za dicksound zinatofauti?
sie wenye RunX tumekukosea nini mzeeHahahahhahah halafu rim za athlete zipo sexy tu sielewi kwanini mtu abadilishe! Kuna rim zinaboaga kwa kweli ila sio straight spoke alloy rims hasa thick ones kama za athlete!
Rim ambazo sioni haja ya kubadili ni kama alloy za:
-Athlete
-Brevis
-Harrier
-Vanguard
-Mark X 17”
Rim zinazokera ni zile za chuma za majiko au mkokoteni kama zilizopo kwenye:
-IST
-Raum
-Funcargo
-Fielder
-RunX
-Wish
-Noah
Hahahahahaha Runx lazma mubadilishe rim za majiko muweke za dicksound 😂 walau size 17” vinginevyo kagari kanabakia kuwa kabaya hakana mvuto😅sie wenye RunX tumekukosea nini mzee
Hahahahahaha Runx lazma mubadilishe rim za majiko muweke za dicksound 😂 walau size 17” vinginevyo kagari kanabakia kuwa kabaya hakana mvuto😅
Bei gani umejipanga nayo maana naskia wengi wanadai ni 600K-700K hapo nipige simu mahali!Extro mwanangu nisaidie nna ka baby woka nataka nivue jiko la mkaa niweke angalau mng'ao kidogo wa mchina maana usawa umebana, sema wauzaji nawacheki insta hawa respond wengine wananipa bei za ajabu. Una jamaa unaemjua nimcheki? Nataka size 15 tu sina mambo mengi mimi.
500k hii hapa mkuu nimeishika . Najua we alwatan kwako hakishindikani kitu hapa mjini 😁Bei gani umejipanga nayo maana naskia wengi wanadai ni 600K-700K hapo nipige simu mahali!
Nilijua mimi mwenyewe tu. Jamaa ana umama sana.Mimi nishawahi fanya nae kazi... Nahisi ile mastaa kwenda kwenda pale basi anavimba kichwa! Pozi nyingi sana na zile rim ni muonekano zaidi ila uimara sio sana
Mkuu vipi ngoma ilikua nzito..?😁Bei gani umejipanga nayo maana naskia wengi wanadai ni 600K-700K hapo nipige simu mahali!
Weka tu mkuu, hazina neno saana.. sema ndio ivyo uandae 700Huu uzi umenikatisha tamaa ya kubadili rim za kale kausafiri kangu....rim zake ni jikonla mkaa nilitamani December hii niweke alloy za kichina..[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] size 16
View attachment 2040710
Yaani mtu anatoa RIM OG za gari( ambazo manufacturers ndio wamezipimia gari lao) anaenda kuweka mihogo ya kichina!
Juzi kuna mmoja nimekuta anajazana ujinga na mwenzie watoe rim OG za Crown Athlete waweke ming'aro ya kichina!
Huwezi kupata mpya kutoka Japan. Hakuna mtu ataileta kwasababu haitauzika. Uwezo wa Wabongo ndio huo rim zote 600,000. Rim OG used set unaweza kuambiwa 1.2-2m je mpya itakuwaje?
...nashukuru mkuuWeka tu mkuu, hazina neno saana.. sema ndio ivyo uandae 700
Wacha aringe tu. Sauti Solooo au umesahau,?Jamaa anaringaga sana yule... Afu yule anauza hizi za mchina kwa sana japo kwa design ni nzuri ila uimara sio sana