Nahitaji Rim Nzuri na Durable Napata Wapi Kwa Dar

Nahitaji Rim Nzuri na Durable Napata Wapi Kwa Dar

Hahahahhahah halafu rim za athlete zipo sexy tu sielewi kwanini mtu abadilishe! Kuna rim zinaboaga kwa kweli ila sio straight spoke alloy rims hasa thick ones kama za athlete!

Rim ambazo sioni haja ya kubadili ni kama alloy za:
-Athlete
-Brevis
-Harrier
-Vanguard
-Mark X 17”

Rim zinazokera ni zile za chuma za majiko au mkokoteni kama zilizopo kwenye:
-IST
-Raum
-Funcargo
-Fielder
-RunX
-Wish
-Noah
sie wenye RunX tumekukosea nini mzee
 
Extro mwanangu nisaidie nna ka baby woka nataka nivue jiko la mkaa niweke angalau mng'ao kidogo wa mchina maana usawa umebana, sema wauzaji nawacheki insta hawa respond wengine wananipa bei za ajabu. Una jamaa unaemjua nimcheki? Nataka size 15 tu sina mambo mengi mimi.
Hahahahahaha Runx lazma mubadilishe rim za majiko muweke za dicksound 😂 walau size 17” vinginevyo kagari kanabakia kuwa kabaya hakana mvuto😅
 
Extro mwanangu nisaidie nna ka baby woka nataka nivue jiko la mkaa niweke angalau mng'ao kidogo wa mchina maana usawa umebana, sema wauzaji nawacheki insta hawa respond wengine wananipa bei za ajabu. Una jamaa unaemjua nimcheki? Nataka size 15 tu sina mambo mengi mimi.
Bei gani umejipanga nayo maana naskia wengi wanadai ni 600K-700K hapo nipige simu mahali!
 
Bei gani umejipanga nayo maana naskia wengi wanadai ni 600K-700K hapo nipige simu mahali!
500k hii hapa mkuu nimeishika . Najua we alwatan kwako hakishindikani kitu hapa mjini 😁
 
Huu uzi umenikatisha tamaa ya kubadili rim za kale kausafiri kangu....rim zake ni jikonla mkaa nilitamani December hii niweke alloy za kichina..[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] size 16
View attachment 2040710
 
Yaani mtu anatoa RIM OG za gari( ambazo manufacturers ndio wamezipimia gari lao) anaenda kuweka mihogo ya kichina!
Juzi kuna mmoja nimekuta anajazana ujinga na mwenzie watoe rim OG za Crown Athlete waweke ming'aro ya kichina!

Kuna gari hazipendezi na rim og. Ila crown karibu zote zinakuja na rim nzuri tu OG. Muonekano ni chaguo la mtu pia amabalo ndio hasa inafanya watu wana compromise eneo la ubora wa rim og
 
Huwezi kupata mpya kutoka Japan. Hakuna mtu ataileta kwasababu haitauzika. Uwezo wa Wabongo ndio huo rim zote 600,000. Rim OG used set unaweza kuambiwa 1.2-2m je mpya itakuwaje?

Rim OG mpya inacheza kuanzia dola 200 hadi 300 na kuendelea
 
Back
Top Bottom