Nahitaji Rim Nzuri na Durable Napata Wapi Kwa Dar

Nahitaji Rim Nzuri na Durable Napata Wapi Kwa Dar

Hapana,rim zake ziko fresh sema wasi wasi wangu kwenye ubora,kitabia mchizi yuko poa,hanaga tabu
Yeah, sema anapenda sana wide yule... Ukiwa unataka wide nenda pale! Kuhusu ubora ni zile zile tu mkuu... Rim haiwezi kuuzwa laki 6 kwa zote afu utegemee ubora japo zipo za bei tofaut ila asilimia kubwa wauzaji wote wa type ya dick na ephra rim zao huwa ni zile zile tu
 
Kama unataka rim kali za mtumba nenda swahili anzia pale fire kutokea muhimbili gari za tegeta huwa zinapita. Sheli ya total fire nenda na ile road mpaka unakuja tokea msimbazi mwendokas road. Kama hujaelewa ni pm utapata ream kali za mtumba
Vipi bei ya rim used ikoje ukilinganisha na hizi mpya za mchina?
 
Yaani mtu anatoa RIM OG za gari( ambazo manufacturers ndio wamezipimia gari lao) anaenda kuweka mihogo ya kichina!
Juzi kuna mmoja nimekuta anajazana ujinga na mwenzie watoe rim OG za Crown Athlete waweke ming'aro ya kichina!
 
Huwezi kupata mpya kutoka Japan. Hakuna mtu ataileta kwasababu haitauzika. Uwezo wa Wabongo ndio huo rim zote 600,000. Rim OG used set unaweza kuambiwa 1.2-2m je mpya itakuwaje?
Nashukuru nikipata Kariakoo pale kwa 750k
 
Yaani mtu anatoa RIM OG za gari( ambazo manufacturers ndio wamezipimia gari lao) anaenda kuweka mihogo ya kichina!
Juzi kuna mmoja nimekuta anajazana ujinga na mwenzie watoe rim OG za Crown Athlete waweke ming'aro ya kichina!
Hahahahhahah halafu rim za athlete zipo sexy tu sielewi kwanini mtu abadilishe! Kuna rim zinaboaga kwa kweli ila sio straight spoke alloy rims hasa thick ones kama za athlete!

Rim ambazo sioni haja ya kubadili ni kama alloy za:
-Athlete
-Brevis
-Harrier
-Vanguard
-Mark X 17”

Rim zinazokera ni zile za chuma za majiko au mkokoteni kama zilizopo kwenye:
-IST
-Raum
-Funcargo
-Fielder
-RunX
-Wish
-Noah
 
Huwezi kupata mpya kutoka Japan. Hakuna mtu ataileta kwasababu haitauzika. Uwezo wa Wabongo ndio huo rim zote 600,000. Rim OG used set unaweza kuambiwa 1.2-2m je mpya itakuwaje?
Njia ya Tandale unapata zile used zikiwa bomba kabisa.
 
Yeah, sema anapenda sana wide yule... Ukiwa unataka wide nenda pale! Kuhusu ubora ni zile zile tu mkuu... Rim haiwezi kuuzwa laki 6 kwa zote afu utegemee ubora japo zipo za bei tofaut ila asilimia kubwa wauzaji wote wa type ya dick na ephra rim zao huwa ni zile zile tu
Rim zinatoka kiwanda kimoja China ila mikato tu tofauti! Unataka niambia rim za BSN anazouza Ephra na BSN za dicksound zinatofauti?
 
Back
Top Bottom