Nahitaji saa hii original, siyo famba

Wakuu nahitaji saa hii original..View attachment 3146045
Ukiangalia Amazon hizi saa si chini ya Laki Mkuu Casio OG. Ila hapa kwetu wanauza bei kama 30,000 hivi so 99% ambazo zipo Tanzania Sio OG.

Link ya official Store Casio Amazon na hio saa

Kama unapenda Vitu OG nunua Online ila inaweza fika laki 2 mpaka Inakufikia mkononi.

Otherwise fanya Research kwa Chinese brand ipi inatoa Saa nzuri italipa hela ya kati ila utapata Quality kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…