Nahitaji saa hii original, siyo famba

Nahitaji saa hii original, siyo famba

Ukiangalia Amazon hizi saa si chini ya Laki Mkuu Casio OG. Ila hapa kwetu wanauza bei kama 30,000 hivi so 99% ambazo zipo Tanzania Sio OG.

Link ya official Store Casio Amazon na hio saa

Kama unapenda Vitu OG nunua Online ila inaweza fika laki 2 mpaka Inakufikia mkononi.

Otherwise fanya Research kwa Chinese brand ipi inatoa Saa nzuri italipa hela ya kati ila utapata Quality kubwa.
Nielekeze Jinsi ya kununua kitu amazon
 
CASIO MQ 24G-9E
Sio mbaya kwa bei hii na usafiri
Screenshot_20241107_095942_eBay~2.png
 
Nielekeze Jinsi ya kununua kitu amazon
Siku hizi unaweza ukanunua Direct Amazon, kitu kinakuja na DHL ama FedEx sema shipping gharama ni kubwa,

Alternative mtumie Mwl.RCT kama hujui njia za kutumia, ama tumia forwarding services kama Aramex Shop and ship, silent ocean kama una mzigo mkubwa etc.
 
Kuna tarakimu ya mwisho baada ya Z3
Ila Longines zina bei
Sijui nije nazo baadhi mwakani huenda nikapata wateja
Ongeza nyama hapo na picha pia mkuu
Hii ni gold plated kabisa
Nnayo miaka mingi sana ilikuwa ya babu kipindi anaichkua ilikuwa parefu sana,nmechek bei sahv naona inasema hivyo

Ova
 

Attachments

  • Screenshot_20241107_134653_Google.jpg
    Screenshot_20241107_134653_Google.jpg
    204.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom