Nahitaji sana Busara zako kwa hili.

Nahitaji sana Busara zako kwa hili.

hivi infidelity ni tatizo kubwa kiasi hiki? i don believe in cheating... i don see why i should cheat someone i luv and cherish
 
Kwanini lakini wanaume mnapenda kuumiza mioyo ya wanawake??? Nyumba ndogo ya nini?? Na una mke ndani ukitaka muda wowote unapewa??? Hebu tuwe na huruma na wanawake saa nyingine bwana aakkhhh

Desidii unatuonea, mbona DNA kutoka kwa mkemia mkuu Dar es salaam zimethibitisha kuwa asilimia 60 ya watoto sio wa wamiliki, I mean Baba si wa mtoto? Tatizo hapa ni kuwa kuna neno Nyumba ndogo kwa wanaume, ukweli ni kuwa kuna Badilisha mboga kwa akina mama lakini hili halisemwi. Hivi kuwa na N.ndogo au kuwa na mtoto feki ipi ni zaidi. Mnatuonea tu kwavile hatuna Beijing.
 
Nimekuelewa najua hata wanaume wengine wenye nyumba ndogo basi wataacha.
Kwanini lakini wanaume mnapenda kuumiza mioyo ya wanawake??? Nyumba ndogo ya nini?? Na una mke ndani ukitaka muda wowote unapewa??? Hebu tuwe na huruma na wanawake saa nyingine bwana aakkhhh
 
Thats ma girl,hongera kwa kumpa ndugu yetu ushauri mzuri,hapo mimi wala sina cha kuongeza na senksi nimekugongea za kumwaga,maana naona jamaa yetu hapa alikuwa anataka kwenda kurogwa tu huko nyumba ndogo.

The Following User Says Thank You to shosti four times For These Useful Posts:
Paka Mweusi (Today)
:busu
 
Wana JF poleni sana na Mihangaiko ya maisha na wale wa Arusha nawapa Pole sana kwa Matatizo yote yaliyowapata hadi kupoteza maisha ya watu basi Mungu azilaze roho za wapenda maendeleo wote waliokufa kwenye harakati.....Amen.

Lengo nikuwaomba ushauri kwenu najua mtanisaidia ili niweze kufanikiwa kwa hili ,sasa nataka kuagana na Ukapera na kuingia katika ndoa kama Mungu atanijalia.
Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ukioa lazima uwe na nyumba ndogo ili siku Mkeo akikuudhi basi uende nyumba ndogo ukajiliwaze, kwa kufanya hivyo basi unaweza kujikuta huwi na mgogoro na ndoa siku zote za maisha yako.Kwani nyumba ndogo inajua sana kufariji hasa pale unapokuwa umegombana na mkeo.

1..Je Ni kweli nikioa basi niwe na Nyumba ndogo?
2..Je Ni aina gani ya Nyumba ndogo niwe nayo? ( Mmama, Msichana mdogo,au shangingi?)
3. Na niwezaje kuficha mke wangu asijue?

Nisionekane natania kwa hili maana wapo wengi wameoa na wana nyumba ndogo kama una utaalamu wa kumiliki nyumba ndogo toa ushauri hapa na kama ni vibaya kuwa na nyumba ndogo pia nipe sababu.

Nawasilisha kwenu.........
Please sir, there is neither a reason nor benefit of having a "nyumba ndogo"...... you are supposed to make a decision and showing your stand to the whole community.... make choice and prepare both yourself and your choice to be in a position you like.... And the only way you can make this successful is by completely deleting minds of infidelity in your brain..... Whether you believe or not, it is very possible to be trustful to your partner..... but the main mistake people normally do is to try to make others to trust on them, instead of being trustful.... You will be wasting your time when trying to make your wife/husband to trust on you.... you have to be trustful instead.... Treat your partner to believe that when he/she make an affair outside of your relation is a misuse of her/his own body, and he/she is a loser alone.....
 
Wana JF poleni sana na Mihangaiko ya maisha na wale wa Arusha nawapa Pole sana kwa Matatizo yote yaliyowapata hadi kupoteza maisha ya watu basi Mungu azilaze roho za wapenda maendeleo wote waliokufa kwenye harakati.....Amen.

Lengo nikuwaomba ushauri kwenu najua mtanisaidia ili niweze kufanikiwa kwa hili ,sasa nataka kuagana na Ukapera na kuingia katika ndoa kama Mungu atanijalia.
Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ukioa lazima uwe na nyumba ndogo ili siku Mkeo akikuudhi basi uende nyumba ndogo ukajiliwaze, kwa kufanya hivyo basi unaweza kujikuta huwi na mgogoro na ndoa siku zote za maisha yako.Kwani nyumba ndogo inajua sana kufariji hasa pale unapokuwa umegombana na mkeo.

1..Je Ni kweli nikioa basi niwe na Nyumba ndogo?
2..Je Ni aina gani ya Nyumba ndogo niwe nayo? ( Mmama, Msichana mdogo,au shangingi?)
3. Na niwezaje kuficha mke wangu asijue?

Nisionekane natania kwa hili maana wapo wengi wameoa na wana nyumba ndogo kama una utaalamu wa kumiliki nyumba ndogo toa ushauri hapa na kama ni vibaya kuwa na nyumba ndogo pia nipe sababu.

Nawasilisha kwenu.........
Kikosi cha infidelitoooooz...TENDA HIYO!!
 
Desidii unatuonea, mbona DNA kutoka kwa mkemia mkuu Dar es salaam zimethibitisha kuwa asilimia 60 ya watoto sio wa wamiliki, I mean Baba si wa mtoto? Tatizo hapa ni kuwa kuna neno Nyumba ndogo kwa wanaume, ukweli ni kuwa kuna Badilisha mboga kwa akina mama lakini hili halisemwi. Hivi kuwa na N.ndogo au kuwa na mtoto feki ipi ni zaidi. Mnatuonea tu kwavile hatuna Beijing.
presha impanda...ngoja niende kaunta kwanza...!!
 
Kwanini lakini wanaume mnapenda kuumiza mioyo ya wanawake??? Nyumba ndogo ya nini?? Na una mke ndani ukitaka muda wowote unapewa??? Hebu tuwe na huruma na wanawake saa nyingine bwana aakkhhh

Kwani huyo wa nyumba ndogo mwanaume? La hasha ni mwanamke ambaye naye anahitaji penzi akoshe roho yake pia.........with a light touch....

Wadau naombeni mnifundishe kupost topic.
 
Uhitaji ya nyumba ndogo haupangwi kabla ya ndoa bana...argh!!!
 
Kwani huyo wa nyumba ndogo mwanaume? La hasha ni mwanamke ambaye naye anahitaji penzi akoshe roho yake pia.........with a light touch....

Wadau naombeni mnifundishe kupost topic.

Ukiingia kwenye jukwaa linalohusika na thread unayotaka kuanzisha kuna sehemu imeandikwa + Post New Topic hapo juu kabisa upande wa kushoto,clic hapo itakupa page kisha endelea....all the best.
 
Shosti sasa si ndio maana nimeomba ushauri mimi nataka kuoa kwanini unasema kama ni hivyo niache tu?

kaka,i dn knw how old u a,bt please achana na hzo hbr za nyumbandogo,very dangerous,never knw bt ndo inaweza ikawa mwanzo wa wewe kuharibikiwa mambo yako,hao wanawake huwa hawana mahaba,tena akikujua umeoa,coz she knws hana nafas,atataka kuku2mia wewe na rasilimali pesa,bora iwe hvyo,at the end na hiv
ujue utamgaramikia kila ki2,some tym itakupasa umpangshie rum,je hzo pesa c ndo ungefanyia masuala mengne,achana na stori za vjiwen na grocery,KAMA UMEAMUA KUOA,MEANZ HUYO NDO UA FIRST+LAST DECISION,
 
Nimekuelewa na nitafanya hivyo hakika kwani nyumba ndogo zitaniharibia maisha yangu kama ulivyosema.
kaka,i dn knw how old u a,bt please achana na hzo hbr za nyumbandogo,very dangerous,never knw bt ndo inaweza ikawa mwanzo wa wewe kuharibikiwa mambo yako,hao wanawake huwa hawana mahaba,tena akikujua umeoa,coz she knws hana nafas,atataka kuku2mia wewe na rasilimali pesa,bora iwe hvyo,at the end na hiv
ujue utamgaramikia kila ki2,some tym itakupasa umpangshie rum,je hzo pesa c ndo ungefanyia masuala mengne,achana na stori za vjiwen na grocery,KAMA UMEAMUA KUOA,MEANZ HUYO NDO UA FIRST+LAST DECISION,
 
kama unataka kuoa, achana na mawazo ya nyumba ndogo, maana naona umeshaharibu maana nzima ya hiyo ndoa kabla hata hujaingia. we endelea tu na ukapela na unaweza kuwa free kuwa na wanawake aina zote kuanzia mashangingi, masugar mumy, vigori na hata wadada wenye heshma zao.
Na mwisho nyie baadhi ya wanaume acheni kujazana upupu vichwani, mnapollute hata innocent minds kwa kushindwa kwenu kwenye ndoa zenu.
Happy new year.
 
kama unataka kuoa, achana na mawazo ya nyumba ndogo, maana naona umeshaharibu maana nzima ya hiyo ndoa kabla hata hujaingia. We endelea tu na ukapela na unaweza kuwa free kuwa na wanawake aina zote kuanzia mashangingi, masugar mumy, vigori na hata wadada wenye heshma zao.
Na mwisho nyie baadhi ya wanaume acheni kujazana upupu vichwani, mnapollute hata innocent minds kwa kushindwa kwenu kwenye ndoa zenu.
Happy new year.

inawezekana pia kuwa wanapreach tu hapa ila hawapratice, sasa wenzao wanayabeba kama yalivyo na kuyafanyia kazi.
 
MH!, St.RR! zinakujaje zenyewe? hebu sema ili akina dada tujue jinsi ya kuziepuka jamani.

Sidhani kama kuna njia zilizonyooka za kuziepuka....jitahidi kwa uwezo wako.....ila zikitokea usijione mkosaji!
Its more natural!
 
kama unafikri nyumba ndogo inaliwaza basi mfanye mke wako nyumba ndogo! because ''there is no reality but perception"
 
Nyumba ndogo siyo issue kabisa. Achana na hayo maneno ya mitaani maana angalia waliopitia hizo style za maisha wakueleze ugumu wake ulivyo. Maana hapo utakuwa na familia mbili pia ndo mwanzo wa kulogana na kuanza kusababisha matatizo mengi zaidi kwenye familia yako. Jitunze kijana ukioa unaishi na mkeo kwa shida na raha hayo mengine ya kupita tu. Kama hujaridhika na mke unayetaka kumuoa then usioe kabisa. Vuta subira ujipange vizuri. Katika hali ya kawaida ukimpenda mkeo kwa dhati sidhani hata kama utakuwa na muda wa kurandaranda.
 
Back
Top Bottom