Kwanini lakini wanaume mnapenda kuumiza mioyo ya wanawake??? Nyumba ndogo ya nini?? Na una mke ndani ukitaka muda wowote unapewa??? Hebu tuwe na huruma na wanawake saa nyingine bwana aakkhhh
Kwanini lakini wanaume mnapenda kuumiza mioyo ya wanawake??? Nyumba ndogo ya nini?? Na una mke ndani ukitaka muda wowote unapewa??? Hebu tuwe na huruma na wanawake saa nyingine bwana aakkhhh
:busuThats ma girl,hongera kwa kumpa ndugu yetu ushauri mzuri,hapo mimi wala sina cha kuongeza na senksi nimekugongea za kumwaga,maana naona jamaa yetu hapa alikuwa anataka kwenda kurogwa tu huko nyumba ndogo.
The Following User Says Thank You to shosti four times For These Useful Posts:
Paka Mweusi (Today)
Please sir, there is neither a reason nor benefit of having a "nyumba ndogo"...... you are supposed to make a decision and showing your stand to the whole community.... make choice and prepare both yourself and your choice to be in a position you like.... And the only way you can make this successful is by completely deleting minds of infidelity in your brain..... Whether you believe or not, it is very possible to be trustful to your partner..... but the main mistake people normally do is to try to make others to trust on them, instead of being trustful.... You will be wasting your time when trying to make your wife/husband to trust on you.... you have to be trustful instead.... Treat your partner to believe that when he/she make an affair outside of your relation is a misuse of her/his own body, and he/she is a loser alone.....Wana JF poleni sana na Mihangaiko ya maisha na wale wa Arusha nawapa Pole sana kwa Matatizo yote yaliyowapata hadi kupoteza maisha ya watu basi Mungu azilaze roho za wapenda maendeleo wote waliokufa kwenye harakati.....Amen.
Lengo nikuwaomba ushauri kwenu najua mtanisaidia ili niweze kufanikiwa kwa hili ,sasa nataka kuagana na Ukapera na kuingia katika ndoa kama Mungu atanijalia.
Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ukioa lazima uwe na nyumba ndogo ili siku Mkeo akikuudhi basi uende nyumba ndogo ukajiliwaze, kwa kufanya hivyo basi unaweza kujikuta huwi na mgogoro na ndoa siku zote za maisha yako.Kwani nyumba ndogo inajua sana kufariji hasa pale unapokuwa umegombana na mkeo.
1..Je Ni kweli nikioa basi niwe na Nyumba ndogo?
2..Je Ni aina gani ya Nyumba ndogo niwe nayo? ( Mmama, Msichana mdogo,au shangingi?)
3. Na niwezaje kuficha mke wangu asijue?
Nisionekane natania kwa hili maana wapo wengi wameoa na wana nyumba ndogo kama una utaalamu wa kumiliki nyumba ndogo toa ushauri hapa na kama ni vibaya kuwa na nyumba ndogo pia nipe sababu.
Nawasilisha kwenu.........
Kikosi cha infidelitoooooz...TENDA HIYO!!Wana JF poleni sana na Mihangaiko ya maisha na wale wa Arusha nawapa Pole sana kwa Matatizo yote yaliyowapata hadi kupoteza maisha ya watu basi Mungu azilaze roho za wapenda maendeleo wote waliokufa kwenye harakati.....Amen.
Lengo nikuwaomba ushauri kwenu najua mtanisaidia ili niweze kufanikiwa kwa hili ,sasa nataka kuagana na Ukapera na kuingia katika ndoa kama Mungu atanijalia.
Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ukioa lazima uwe na nyumba ndogo ili siku Mkeo akikuudhi basi uende nyumba ndogo ukajiliwaze, kwa kufanya hivyo basi unaweza kujikuta huwi na mgogoro na ndoa siku zote za maisha yako.Kwani nyumba ndogo inajua sana kufariji hasa pale unapokuwa umegombana na mkeo.
1..Je Ni kweli nikioa basi niwe na Nyumba ndogo?
2..Je Ni aina gani ya Nyumba ndogo niwe nayo? ( Mmama, Msichana mdogo,au shangingi?)
3. Na niwezaje kuficha mke wangu asijue?
Nisionekane natania kwa hili maana wapo wengi wameoa na wana nyumba ndogo kama una utaalamu wa kumiliki nyumba ndogo toa ushauri hapa na kama ni vibaya kuwa na nyumba ndogo pia nipe sababu.
Nawasilisha kwenu.........
presha impanda...ngoja niende kaunta kwanza...!!Desidii unatuonea, mbona DNA kutoka kwa mkemia mkuu Dar es salaam zimethibitisha kuwa asilimia 60 ya watoto sio wa wamiliki, I mean Baba si wa mtoto? Tatizo hapa ni kuwa kuna neno Nyumba ndogo kwa wanaume, ukweli ni kuwa kuna Badilisha mboga kwa akina mama lakini hili halisemwi. Hivi kuwa na N.ndogo au kuwa na mtoto feki ipi ni zaidi. Mnatuonea tu kwavile hatuna Beijing.
Kwanini lakini wanaume mnapenda kuumiza mioyo ya wanawake??? Nyumba ndogo ya nini?? Na una mke ndani ukitaka muda wowote unapewa??? Hebu tuwe na huruma na wanawake saa nyingine bwana aakkhhh
Kwani huyo wa nyumba ndogo mwanaume? La hasha ni mwanamke ambaye naye anahitaji penzi akoshe roho yake pia.........with a light touch....
Wadau naombeni mnifundishe kupost topic.
Shosti sasa si ndio maana nimeomba ushauri mimi nataka kuoa kwanini unasema kama ni hivyo niache tu?
kaka,i dn knw how old u a,bt please achana na hzo hbr za nyumbandogo,very dangerous,never knw bt ndo inaweza ikawa mwanzo wa wewe kuharibikiwa mambo yako,hao wanawake huwa hawana mahaba,tena akikujua umeoa,coz she knws hana nafas,atataka kuku2mia wewe na rasilimali pesa,bora iwe hvyo,at the end na hiv
ujue utamgaramikia kila ki2,some tym itakupasa umpangshie rum,je hzo pesa c ndo ungefanyia masuala mengne,achana na stori za vjiwen na grocery,KAMA UMEAMUA KUOA,MEANZ HUYO NDO UA FIRST+LAST DECISION,
Oa....nyumba ndogo zinakuja zenyewe...!
kama unataka kuoa, achana na mawazo ya nyumba ndogo, maana naona umeshaharibu maana nzima ya hiyo ndoa kabla hata hujaingia. We endelea tu na ukapela na unaweza kuwa free kuwa na wanawake aina zote kuanzia mashangingi, masugar mumy, vigori na hata wadada wenye heshma zao.
Na mwisho nyie baadhi ya wanaume acheni kujazana upupu vichwani, mnapollute hata innocent minds kwa kushindwa kwenu kwenye ndoa zenu.
Happy new year.
MH!, St.RR! zinakujaje zenyewe? hebu sema ili akina dada tujue jinsi ya kuziepuka jamani.