moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 484
- 337
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata ikiwa na conditional offer na masomo yataanza Septemba 2014.Gharama za masomo ni Fee £ 10,420 na costs of living £ 9,050 bila kuhusisha usafiri wa kwenda huko.Sina ajira serikalini ambapo serikali ingeweza kunipa udhamini.Chuo kinahitaji pia niweke £ 1,000 au pesa yote ili wanitumie Certificate of acceptance of Study (CAS).Hali ya kiuchumi ya familia pia sio nzuri.
Naomba ushauri wenu, maelekezo au msaada wa udhamini ili niweze kwenda kuongeza elimu. Nakaribisha PM pia links,jinsi ya kufanya ili niweze kwenda kusoma.Nawasilisha